Hivi mkoje nyie?...!

,... hasemi lolote almuradi kaamua 'kukuweka' uncomfortable as if hapo nyumbani unamuwekea usiku...

Yale Yale makufuri ya China, ukiona hivyo ujuwe keshaanza kuugua maleria maana MBU wa siku hizi hawa cha chandarua wala dawa ya kuchoma
 
Kumradhi binamu. Nlikuwa nataka kujua kama bado upo. Heshima kwanza. Lol! Hahahaha!
Majukumu binamu si unajua tena kutafuta mkate wa kila siku! 2po Pamoja Mkuu!
 
Ulimpata wapi huyo? Shuleni, Kijijini, Jeshini, Bar, Ofisini, kwenye daladala, au? Mbona wake zetu sisi ni poa tu. Wanatupa raha kinoma!
 

...ha ha ha...

kawaida kila nikitoka naaga, tena natoa Itinenary yote lakini bado tu
mtu hata hujamaliza nusu ya safari ushatumiwa sms upo wapi, ukijizubaisha kujibu mara huyo ka beep,... hujakaa sawa hizo missing calls,
duuh!
 

...anajifanya anaota huyo,... anagusa halafu anasikilizia uta respond vipi, siku uchune tu uone kama atakubaka πŸ˜€


...dah,

Jethro umenifanya nicheke hiyo eti anataka umuogope...duuuh...
yaani huo mkwala kukumbushia enzi zilee mama mzazi alipokuwa
anakusubiria mlangoni na fimbo ya mpera kwa ulivyochelewea kwenye michezo ya 'tapo', sijui 'kombolela' nk... πŸ˜€
 
Ulimpata wapi huyo? Shuleni, Kijijini, Jeshini, Bar, Ofisini, kwenye daladala, au? Mbona wake zetu sisi ni poa tu. Wanatupa raha kinoma!

...wewe na nani mkuu?
 

Mkuu, it takes two to tangle!!! lets be fair that haya matatizo yanachangiwa na baadhi ya tabia zetu ingawa nao wanakosea wanapo-overreact na kushindwa kuwa rational
 
Umarried men know about women than married men. Thats why they are not married!!

Oh how wrong you are;
what about age?
what about rejection?
what about honesty?
what about future plans
what about kids?
what about having the one you love everyday and every night?

I came to know more about women the day i got married
they opened up to me
I understand intimately their values and beauty
i sleep secured
with family life, you know more secrets about women
oooh man!!! despite all problems, i need them more and more
Gamedu!!!
 

respect!!
 
Life is what you make it!!!!! and this is only achieved once you fight for it, just like Fernando Torres, he made it after fighting for his footballing skills and potentials
 
Maisha ya ndoa si ya kila mtu lol!!! MBU punguza kuangalia mpira anza kuangalia sappy TV shows na bibie.
 
Maisha ya ndoa si ya kila mtu lol!!! MBU punguza kuangalia mpira anza kuangalia sappy TV shows na bibie.

...aisee siwezi kuishi bila mke wangu bana!
Nipo so addicted na vituko vyake...

Leo tunataniana na kucheka as if juzi haikuwepo.
Sijui lini tena ataponiletea 'homework' nyingine?

siku nikiomba tena 'mlungula', mjue kumekucha tena!
Ushauri wako nimeupokea Eqlypz, bedtime story leo namsomea
Mills & Boom... πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…