Hivi Mkurugenzi mmoja wa halmashauri kukaa kituo kimoja kwa zaidi ya miaka 3 hakuwezi kuwa sababu ya kutengeneza ufisadi?

Wakurugenzi wana akili kuliko Huyo mama.wacha waibe tu
 
Bandiko pia limeongelea mambo ya ndani na siyo general.
 
Kwako wewe ni sawa dereva muajiriwa hanyimwe gari ila ndugu yake asiye muajiri na wala hana mkataba apewe gari?.
Ndo maana nikasema hayo Ni Mambo yenu ya ndani,mkae myazungumze wenyewe.

Ukumbuke mkurugenzi ndio mwajiri mkuu wa halmashaur, Unaweza hisi Hana mkataba,kumbe keshamjazisha tayar mkataba na faili tayar liko ofsin kwake katulia nalo anawaskilizia tu mnavopayuka.

Ukiingia mashindano,ukaweka ligi na boss wako, jua unayeumia Ni wee na wategemez wako.

JITAHIDI KUISHI NAE KWA AKILI MKUU[emoji4]
 
Ila si mnalipwa lakni nikafikiri mnakaa benchi na hamlipwi daah [emoji2][emoji2][emoji2]


Labda na yeye kasomea hayo mambo anawapunguzia majukumu,

Ishini na Mkurugenzi wenu vizuri ndio boss wenu
Ulilisoma bandiko lakini ukalielewa?.
 
Bandiko pia limeongelea mambo ya ndani na siyo general.
Boss level hizo Hawez hamishwa au tumbuliwa kwa Mambo yenu ya ndani.

Uyo Jamaa anawapeleka puta watumishi Hadi sisi raia wa kawaida tunajua kua mmekalia kaa la Moto na mnanyooshwa haswa.

Maana jamaa akiwepo ofsn mnavibrate,
Na ubaya Zaid kagawa hadi namba zake kwa raia na wafanyabiashara wote. 24hrs ukipiga Simu yake response Yake iko chap mno.

Mtumish usipokuepo ofsin,husikilizi wananchi,unalewa hovyo,unaomba rushwa kifala,unanyanyasa watu,milolongo kibao na nakadakwa. Aisee UMEKWISHA[emoji1]
 
S
Sawa injinia Stephano Kaliwa naona umekuja kujipakulia minyama kama yote.

Kuchapa kazi sio kigezo kwamba hahujumu pesa za serikali. Wewe unamtetea kwa kuwa labda ni mteja wako huko dukani kwako ila wanaofanya nae kazi kindakindaki hapo halmashauri ndio wanamjua vizuri
 
Nnachokijua watumishi wengi wa halmashaur nyng nchini wanavojiona miungu watu hawawezi kumpenda boss mchapakazi Kama yule.

Mkuu,
Nmefanyakazi na halmashaur nyng,
Ila halmashaur ya jamaa na KAHAMA ndo halmashaur pekee nchini na ambazo Unaweza kua na tatizo usiku.

Ukampigia Simu mkurugenz, akakuskiliza akaacha usngz wake na akaja ofsin au site kushughulikia Tatizo lako mpk ukaridhika.

Pia ndo halmashaur pekee nmeona zinatafuta wawekezaji wa ndani zenyewe na ukifika unanyenyekewa.

Jamaa mwaka Juz kafata wawekezaji wa kilimo dar, kawagawia mapori kibao matupu wakodishwe walime kwa ridhaa ya serikali ya Kijiji ili kuongeza mzunguko wa fedha kwenye halmashaur Yake.

Katafuta wawekezaji wa vifaa vya kilimo matrekta,mbolea n.k na kuwaunganisha na wakulima.

Imagine mkulima mkubwa mkurugenzi anakudhamini pembejeo unakopeshwa kwa dhamana ya shamba lenye mazao yako tu. Cha muhimu uaminifu wako TU.
Unalipa marejesho baada ya kila msimu wa kilimo. Very simple[emoji4]

Halmashaur nyngn hayo yote mpk uhangaike mwnyw, utoe rushwa kibao na ubembeleze sana na urasimu mwngi ili angalau uweze kufanya investment kwa amani.
 
Ndio
Ndio maana unamsifia kwasababu una manufaa nae
 
Huyo Mkurugenzi kakaa kwa muda mrefu inawezekana ni mlipaji mzuri wa Malimbuko na fungu la Kumi katika madhabahu ya Chamwino.
Sio kweli,
nadhan jamaa kakaa pale kimkakati aijenge ile halmashaur maana bado Ni changa, ukzingatia jamaa Ni engineer.

Ile halmashaur ilianzishwa awamu ya magu mwishon mwishon kabla hajafa nadhan.

Na Katika top 5 ya halmshaur Bora nchini and fastest growing by numbers, ya jamaa iko speed sana[emoji4]
 
Hii ndiyo shida yetu watz.Yaani wewe ukiwa mnufaika wa ubadhirifu wa kiongozi fulani,basi unaidhinisha kila uchafu wa huyo kiongozi kuwa sawa.
Sasa hayo uliyoyashauri yafuate,yapo katika KANUNI NA SHERIA zipi za utumishi wa UMMA?.
 
Hata siko serikalini mkuu,
Ila harakat zangu nafanya kazi sn na watu wa serikalini, hasa hao wakurugenzi.

Hebu acheni chuki za kijinga,number hazidanganyi,jamaa mchapakazi sana[emoji4]
Hahahah bongo ukiwa mtendaji unataftiwa sababu na kuitwa majina mabaya.
 
Una roho ya kimasikini sana mkuu!.
 
Ndio

Ndio maana unamsifia kwasababu una manufaa nae
Sio nna manufaa nae,

Ni kwamba Anafanya alichostahili kufanya
Sio unakua mkurugenzi Jina TU,upo upo ofsin umekaa kazi kusaini makaratasi TU.

Jamaa Ni mfano wa kuigwa.
Hizo changamoto zenu watumish wake kaeni nae myazungumze, huku mtaani tunamuelewa balaa[emoji4]

Nyongeza pia,
Ndo mkurugenz pekee ambae watendaji wake wa kata/vijiji wanafanya kazi na wenye itikadi za upinzani (chadema n.k)bila chuki Wala kukomoana.

Sehemu nyngn ukienda,
Mtendaji na serikali ya Kijiji mnaelewana vzur wanakupa eneo unaanza kazi.

Ghafla uko site unaona maandamano wananchi wanakufanyia fujo wamehamasishwa na diwani wao wamkatae mwekezaji

Au pengine wakiona una itikadi za upinzani huruhusiwi kuwekeza,au ukiwekeza wanakufanyia figisu kibao wanakuharibia[emoji4]
 
Umenena sawia kuhusu Eng Kaliwa! Wizara mbali mbali na ata mkoani wana mfahamu huyu mwamba kwa uchapa kazi

Ukienda wilayani kwake ata kama umetoka wizarani hakupi 10% wala pesa ya mafuta ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tofauti na halmashauri nyingi zinavyofanya kwa watendaji wajuu

Hapa ndipo wengi wana mchukia na kumuona kama halmashauri kaifanya kuwa yake๐Ÿ˜
 
Hahahah bongo ukiwa mtendaji unataftiwa sababu na kuitwa majina mabaya.
Kweli kabisa mkuu,
WATUMISHI wa halmashaur ile hawampendi jamaa hata kdg,

Anawapeleka less mno,

Ila ile Ni faida kwa sisi tunaofika kuhudumiwa pale.

Pale halmashaur watumish Ni watiifu mno Unaweza dhani Ni parokia ya kanisa.

Ukiona wanazingua
ukawaambia basi ngoja nimuone mkurugenz mwnyw wanatetemeka balaa[emoji1]
 
Aisee!Hiiiiii bhaghosha.Huu sasa ni ujinga mkuu!Acha kujiongelea kama tupo kufanya comedi hapa.Hiki unacho kiongea hakipo.
 
Wakihamishwahamishwa mnalalama, wakiachwa mnalalama PAMBAF wahid nyie!
 
Ila si mnalipwa lakni nikafikiri mnakaa benchi na hamlipwi daah [emoji2][emoji2][emoji2]


Labda na yeye kasomea hayo mambo anawapunguzia majukumu,

Ishini na Mkurugenzi wenu vizuri ndio boss wenu
WATUMISHI wa halmshaur hawajazoea kuish kwa mshahara, jamaa kaziba mianya[emoji1]
 
Aisee!Hiiiiii bhaghosha.Huu sasa ni ujinga mkuu!Acha kujiongelea kama tupo kufanya comedi hapa.Hiki unacho kiongea hakipo.
Unabishana lete ushahidi mezani,nami ntaweka wa kwangu mezani, kwa hoja zangu zote nilizoorodheaha hapo. twende kwa numbers mkuu [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ