HIVI MLIOOA MLIFANYAJE FANYAJE?

King mkucha

Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
89
Reaction score
70
Natamani kuoa ila kuna kikwazo kimoja kinanichanganya sana nina wasichana watatu sasa naona umri umefika na hao wasichana wote nawapenda hivi kuachana nao nifanyaje fanyaje?
 
Natamani kuoa ila kuna kikwazo kimoja kinanichanganya sana nina wasichana watatu sasa naona umri umefika na hao wasichana wote nawapenda hivi kuachana nao nifanyaje fanyaje?
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
 
Oa wote au yule anakupenda kuliko wote au igiza umefulia atakae baki oa

Bia ni bora kuliko mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…