King mkucha
Member
- Oct 14, 2016
- 89
- 70
Natamani kuoa ila kuna kikwazo kimoja kinanichanganya sana nina wasichana watatu sasa naona umri umefika na hao wasichana wote nawapenda hivi kuachana nao nifanyaje fanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaka yote kwa pupa hukosa yoteNatamani kuoa ila kuna kikwazo kimoja kinanichanganya sana nina wasichana watatu sasa naona umri umefika na hao wasichana wote nawapenda hivi kuachana nao nifanyaje fanyaje?
Hii thread imefungwa ni hii comment, tuishie hapa.Ukifika muda wa kuoa utajua kuwa anayeolewa ni mwanamke na siyo msichana