Hivi mmiliki wa Nyanza bottlers ni nani?

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
Hellow
ni kampuni ya utengenezaji na uuzwaji wa vinywaji baridi vya jamii ya cocacola, kwenye maeneo ya kanda ya ziwa, anaejua mmiliki wake atujuze tafadhali
 
Gachuma ni front tu yule,mali ya wahindi ile
 
Somaia ni kampuni tanzu
humo kuna shell phamacetical,simba plastic,mwanza hotel,nyanza bottle,foma etc
 
Si ujibu basii, haya Tanzu kwa kingereza ni nini basi labda ntaelewa
subsidiary mkuu kwahiyo nirekebisha somaia ilikua kampuni mama sio tanzu?
Hata hivyo inawezekana wameidisolve maana sioni data zake tena
 
Gachuma ana 25% somaiya group of companies wana 75%
 
Hivi zile gari za kusambaza soda walizifata India? Maana ni TAta na zimechakaaa balaaaa
Aisee mkuu zile gari zao za kusafirishia soda ni hatari sidhani km tukifuata sheria zitaruhusiwa kufanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…