Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
Hiyo ni kampuni, leo anaweza akawa anamiliki X, Y and Z kesho kutwa umiliki ukabadilika kuttokana na uuzaji wa hisa ... all in all hata Gachuma yumo kwenye wamiliki. Huyo ndo mmiliki mkubwa wa NBLSomaia group kama sikosei