Hivi mmiliki wa Nyanza bottlers ni nani?

Somaia group kama sikosei
Hiyo ni kampuni, leo anaweza akawa anamiliki X, Y and Z kesho kutwa umiliki ukabadilika kuttokana na uuzaji wa hisa ... all in all hata Gachuma yumo kwenye wamiliki. Huyo ndo mmiliki mkubwa wa NBL
 
Hellow
ni kampuni ya utengenezaji na uuzwaji wa vinywaji baridi vya jamii ya cocacola, kwenye maeneo ya kanda ya ziwa, anaejua mmiliki wake atujuze tafadhali
Inamilikiwa na Sumaria Group Tanzania Limited kwa 60% na CMG 40%. Sumaria ni Group of companies linalomilikiwa na Wahindi raia wa Uingereza, CMG ni kampuni ya Gachuma.
 
Hellow
ni kampuni ya utengenezaji na uuzwaji wa vinywaji baridi vya jamii ya cocacola, kwenye maeneo ya kanda ya ziwa, anaejua mmiliki wake atujuze tafadhali
Gachuma ana hisa kwenye umiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…