Inafurahisha kinoma kuona taifa ninaloishi mimi limejaa vipaji kiasi ambacho hadi wasanii wengine wanaambiwa wawe washabiki. ila ajabu iliopo sasa kila wimbo utakaotoka lazima uwe umeiga wimbo mwingine kwa moja kati ya vitu vifuatavyo; sauti, beat au ujumbe. (kibaya zaidi hadi wasanii wakubwa wanaiga hili) na hata kukopi kabisa kutoka nyimbo za kizungu kwa kubadili lugha tu. je! nini hatma ya hili? kweli mziki wenyewe ndo unavyotakiwa uwe hivi?
kimbilio la watu wasiokuwa na elimu pamoja na ajira,hivyo usitegemee chochote kutoka kwao zaidi ya noise pollution,hakuna ubunifu wowote zaidi ya bora liende tu ndio maana kila siku mambo ni yale yale