Hamisikh
Member
- Aug 28, 2012
- 47
- 6
Inafurahisha kinoma kuona taifa ninaloishi mimi limejaa vipaji kiasi ambacho hadi wasanii wengine wanaambiwa wawe washabiki. ila ajabu iliopo sasa kila wimbo utakaotoka lazima uwe umeiga wimbo mwingine kwa moja kati ya vitu vifuatavyo; sauti, beat au ujumbe. (kibaya zaidi hadi wasanii wakubwa wanaiga hili) na hata kukopi kabisa kutoka nyimbo za kizungu kwa kubadili lugha tu. je! nini hatma ya hili? kweli mziki wenyewe ndo unavyotakiwa uwe hivi?