klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Right and wrong!kwahiyo mnachokifata kwa wanawake wa pembeni ni sex tu. Right?
Wewe unaangalia nini Kisukari?uwongo.labda utawapata watoto wa shule.lakini kama mimi,maneno yako kama chakula kula mwenyewe.naangalia vitu vyengine kabisa
Right and wrong!
How do u define sex? pleasure? basic need? basic social interaction? family introduction? Mental tranquility? au?
jibu lako la maana ya sex based on gender need ndio litafafanua unachokifata.
mmmmh!sijui nidefine vipi ila siwezi sema ni basic need. Unaweza survive without it.
mmmmh!
Unaweza kusurvive without it lakini ni sacrifice si ndio?
Swali nzima liko hapo... unavutiwa na nini? Sauti au muonekano?
hahahaha dah! e bana ee shem acha nilog out sasa, hiyo kidoncho imetolewa utamu sana.ni sacrifice ndio, nakama unaweza survive means hata ukipata kidoncho kinatosha. Lol
Nina vigezo vyangu, kuanzia body morphology, face, sauti (but not words) na vingine vingi. Mfano mm mwanaume mweupee, hata uwe na sweet words from heaven, No No Noooooo.
Mkuu Fazaa anapendekeza kua hiyo sauti ndio inayo wavutia wanawake wengi.Nina vigezo vyangu, kuanzia body morphology, face, sauti (but not words) na vingine vingi. Mfano mm mwanaume mweupee, hata uwe na sweet words from heaven, No No Noooooo.
hahahaha dah! e bana ee shem acha nilog out sasa, hiyo kidoncho imetolewa utamu sana.
baadae nitakutafuta unifafanulie namna gani iyo kidoncho inatosheleza? nahitaji hiyo therapy lol
Dah! aisee nimekumbuka kitu nilipoona iyo wanaume weupe lakini acha niuchune tu nisije nikakoseshwa mchumba mpwapwa lolduh!! Pole kwa wanaume weupe.
Bosi upo??Pana ukweli hapa, lakini watabisha. Naamini sisi tutakubali. Sjui kwanini wanawake wengi ni wabishi wa uhalisia?
Dah! aisee nimekumbuka kitu nilipoona iyo wanaume weupe lakini acha niuchune tu nisije nikakoseshwa mchumba mpwapwa lol
Mkuu Fazaa anapendekeza kua hiyo sauti ndio inayo wavutia wanawake wengi.
So unakubaliana nae hapo? Do you agree kua
Vigezo vya muonekano vinakuja baada ya hicho kigezo cha sauti?
duh!! Pole kwa wanaume weupe.
Dada unaonekana mkali.Sauti ni nini? Hata akipayuka si ni sauti? Nadhani yeye fazaa alimaanisha words, unadhani ukinijia na sauti yako nyororo, even if words are sweet like honey, siwezi kuvutiwa.
Kabla hujanisemesha kwa vyovyote cha kwanza ni kukuona siyo? So Km una words au saiti tamu km usemavyo how unaweza kunivutia nikupende? NO WAY.
Dada unaonekana mkali.
Wanaume weupe Noooooo noooooo,
Wanaume wasio na mvuto (hata kama wanasauti) NO WAY.
Angalia usije uka rule out category zote,
Ukitaka alie kamilika muumbe mwenyewe... lol
No commenthahahaha! Haya shem. Msalimie big desh desh.
hehehe still no commentshem mi na koku tunapenda mablack eeh.