fazaa
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 2,984
- 1,031
- Thread starter
- #101
Sasa uwongo umekuja vipi hapa, nimesema lugha siku zote mwanamke ukimtaka lazima uwe mkweli na uwe unamsifia...ukianza uwongo ujuwe unakosa yote.in other words kwa mwanaume uongo muhimu na kwa mwanamke kujiremba ni priority hata kama kichwani hana kitu,au sio?
Point yako ya pili, mwanamke mhimu sana kuwa mzuri, siku zote wanaume tunatazama uzuri kwanza kabla ya akili, afu chunguza mara nyingi sana huwezi kupata mwanamke mzuri akawa hana akil... wanapatikana wale wawili watatu katika mia, ambao watangukia kwa wanaume wale wenye kutazama akili kwanza, kama vile wewe.