Hivi mnajua au hamjui bado.

in other words kwa mwanaume uongo muhimu na kwa mwanamke kujiremba ni priority hata kama kichwani hana kitu,au sio?
Sasa uwongo umekuja vipi hapa, nimesema lugha siku zote mwanamke ukimtaka lazima uwe mkweli na uwe unamsifia...ukianza uwongo ujuwe unakosa yote.

Point yako ya pili, mwanamke mhimu sana kuwa mzuri, siku zote wanaume tunatazama uzuri kwanza kabla ya akili, afu chunguza mara nyingi sana huwezi kupata mwanamke mzuri akawa hana akil... wanapatikana wale wawili watatu katika mia, ambao watangukia kwa wanaume wale wenye kutazama akili kwanza, kama vile wewe.
 
wanawake wengi wao..............hupenda kwa moyo........kufunga bao kiulaini haimaanisha kakupenda.......mara nyingi........you are the wrong guy at the right time for her to yield her juices to you..........tusichanganye matendo na yale yaliyopo moyoni.........lakini mwanaumme ni kweli aonacho mara nyingi kama amefurahia basi na moyo nao hufuata jicho limeona nini.....lakini na kusikia jema kunaongeza kasi ya kumkubali binti................binti kama kauli yake hujaipenda hata maumbile yake yanaanza kuwa na mushkeli machoni pako......................labda kama lengo ni hapo kwa papo..
 
Kaka umeongea point najua wanawake wenzangu wataibeza lakin huo ni ukweli mtupu. Mwanamke bila kusifiwa kupewa sifa za uongo bado hajakubali na masikio ndio yanasikia. Lakin mwanaume ameumbiwa kupende kwa kuangalia bila kuona hawezi kutamani then kupenda.
 
Mimi nikimpenda mwanamke yoyote lazima nimpate sijali ana mme au la! Ni rahisi sana kama kumsukuma mlevi, kwanza nitahakikisha anataka nini,anapendelea nini, nikishindwa natumia gia namba moja ambayo ni: natafuta sehemu confotable ambayo hakuna mtu anaetuona, napiga magoti namlilia jinsi ninavyompenda, kwa sababu wanawake wote wana huruma ananihurumia, analia pia,ananipa mzigo. Kwishneri
 
Hongera TYPOID umeongea atakaye kataa yeye ni ameamua kubisha lakin ukweli ndio huo

yani huo ndo ukweli, mwanamke ana huruma sana, akishakuhurumia basi hana njia nyingine hata kama alikuwa hakupendi atajilazimisha akupende ili asikuumize. Ndo maana nawapenda sana
 
Nimeelewa, but I don't share your enthusiasm. Mimi nahisi sijaeleweka bado.

huo mtihani, kuna mambo mengine lazima awe responsible bila kuambiwa ila ukiona haelewi inabidi kumwelewesha.
 
huo mtihani, kuna mambo mengine lazima awe responsible bila kuambiwa ila ukiona haelewi inabidi kumwelewesha.
Sina hata huyo wa kua responsible! mi sina tu, period! lol
 
it is not funny sababu mwenzio sina halafu wewe unasema yupo.
na wala sio vingine!

Ngabu anakuzibia bahati..usikute kuna mtu somewhere .. Out there halafu ye analeta mambo ya yule.. NN wewe?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…