Hivi mnajua roho ya mwanadamu kama ijapangiwa kufa kwa wakati inabaki hapa hapa duniani?

Hivi mnajua roho ya mwanadamu kama ijapangiwa kufa kwa wakati inabaki hapa hapa duniani?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kuna kisa kimoja kilitokea marekani ambacho mama mmoja alijikuta mikononi mwapolisi baada ya kwenda kituoni kuanza kueleza kuwa eneo fulani kuna mwili wa mtu fulani nendeni mkautoe.

Lile jambo liliwashtua polisi na kuanza kufanyia uchunguzi ila kutokana na umbali mfano tuseme mama yule yupo aliyepeleka ile ripoti mfano ostabey polisi na tukio lipo katavi.

Uzuri wa wenzetu hata kama ni umbali kiasi gani watakwenda ikabidi watume kikosi kufatilia na kweli mwili ukapatikana.
Kutokana na maelezo yale polisi wakamkamata yule mama inawezekana yeye ndio muhusika kwa nini kajua?.
Kilichowashangaza polisi ni kwamba yule mama anasema aliingiwa na kama kitu mwilini mwake na mpaka amefika polisi hafahamu kama alikuwa ni yeye ila kiufupi ni ile roho ya yule aliyefariki kule.

Tuje kwenye mada hii kuhusu maisha ya wanadamu na roho zao.kwenye dini nyingi inashindwa kuzungumzia maana kuna siri nyingi ambazo zikijulikana zinaweza kuwafumbua watu.

Kwa upande wa wahaindi wanaaamini kuwa wanadamu roho zao zinaweza kubaki hapa na kujirudia kwa mnyama,wanadamu na n.k

1684917441062.jpg


Hakuna kitu ambacho wengi ujidanganya mtu anapouliwa au kujiua ukasikia wana kwambia ni mipango ya mungu ilo ni kosa.

Kama siku zake zijafika lazima abaki hapa duniani na kama akitakiwa kurudiwa upya anaenda kuzaliwa tena.
SIJUI ILIKUWA MAKALA GANI WASAFI TV THE STORY BOOK WALIELEZA KUHUSU HAYA
 
Hii ni michezo tu sawa na ule wa Area C.
Ipo hivi ukitumwa ukatoe uhai wa kiongozi nyuma yako pana watu wamepangwa kutoa uhai wako baada ya mission ili kuficha ushahidi kwani ukiacha hai utatema siri so unalaghaiwa kwa kulipwa pesa za kazi zote nyingi ili ujae baada ya kuuliwa pesa inarudishwa.
Thus hizi mission ni wapumbavu pekee ndio huwa wanatumwa.
Sawa na ile ya Area C wengi walimalizwa baada ya mission wakakosa vyote.
 
Mwenye uwezo wa kuua roho ya mtu ni Mungu pekee shetani au mchawi hana uwezo huo.
Mchawi anachofanya ni kumficha mtu asionekane kwa watu kwa macho haya ya nyama anafanya mazingaombwe uonekane umekufa.
 
Nonsense
Hakuna kitu kama hicho
yaani ni hivi hakuna uhai baada ya kifo
mtu akifa mwili unarudi udongoni, na roho/pumzi ya uhai inarudi kwa mwenyezi Mungu
hakuna roho inakuwa hai inaelea huku duniani
ni shetani anatumia fursa kudanganya watu, kutafuta wafuasi
 
Back
Top Bottom