Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Hakuna siri duniani labda siri zako sehemu za siri.
Simu janja zimekuwa zikikusanya umbeya kwenye maongezi na kukuletea udaku ambao kama utakuwa unapenda kuongelea nguo basi zile app au safu ya browser utaona matangangazo yakikuwekea unacho taka.
Kwa wale mnaotaka kujiunga na ugaidi ni rahisi kukamatika maana mnakuwa mshapeleka taarifa kwa wanaopokea taarifa.
Mfano ukifika china usije kutumia simu yako kuanza kuuliza Rais wao na mambo ambayo china swala la kitaifa lao utapotea.
Na nchi zote zipo hivo
Simu hizi si salama