Hivi mnajua wanaoswali na kusali ndio watenda dhambi wakubwa, wale wasiosali wala kuswali hawafanyi dhambi nyingi kivile, ona mifano

Hivi mnajua wanaoswali na kusali ndio watenda dhambi wakubwa, wale wasiosali wala kuswali hawafanyi dhambi nyingi kivile, ona mifano

Oyaa hawa walokole wengi ni wa mchongo ijapokuwa sio wote si kuna mchungaji mmoja alikuwa anapita na wanakwaya kisiri siri si kamoja kakapata mimba oyaa jamaa akahama kanisa na akaenda kuanzisha kanisa lake
😁😁
Akaamua kujichinjia kondoo wake.
 
Angalia hapa utajua,
Mtu Kwa siku anapiga lakha tano na bado ana mwezi wa toba lakini kila leo anaenda kutubu, ina maana huyu mtu ni mtenda dhambi, na anafanya dhambi makusudi ili aende kutubu kila wakati, Kwa nini asifanye dhambi na atubu mara moja sio kila siku,
Haya mtu kila leo kanisani hoja kuu kunakipengele cha kuungama dhambi na ukumbuke hiyo ni kila siku, lakini huyo ndio anazini na wanakwaya, waumini, anasengenya kila leo yaani kila siku yeye ni mdhambi na kila siku anatubu tu si anajua nafasi anayo,
Wale sasa anayejua yeye ni jambazi hana dhambi nyingi yeye anakua nayo moja tu, mla rushwa pia dhambi yake ni moja tu anajua yeye anakula rusha imeisha hiyo, mzinzi anajijua kabisa yeye ni uzinzi tu yaani hili kundi wao wanaspecialize milele , lakini wenzangu na mimi ni kuvuruga tu mara hili mara vile,
Hasa ikitokea akatubu ile moja ni moja Kwa moja paradiso,
Tujitahidi kuchagua dhambi moja uifanye Kwa ustaadi ili usimchanganye huyo ndugu Mungu kama yupo,
Mkuu unasema eti: "Tujitahidi kuchagua dhambi moja uifanye Kwa ustaadi".......
Dah! Umetisha aisee. Uwingi wa dhambi au Uchache wa dhambi sio kipimo kama uzito wa mizani eti hizi ni kilo 10 lakini hizi ni kilo 2 tu. Dhambi ni dhambi na zote zinatakiwa zitubiwe/zifanyiwe Toba.
 
اتْلُ مَا أُوحِيَ إِلَيْكَ مِنَ الْكِتَابِ وَأَقِمِ الصَّلَاةَ ۖ إِنَّ الصَّلَاةَ تَنْهَىٰ عَنِ الْفَحْشَاءِ وَالْمُنكَرِ ۗ وَلَذِكْرُ اللَّـهِ أَكْبَرُ ۗ وَاللَّـهُ يَعْلَمُ مَا تَصْنَعُونَ ﴿٤٥﴾

45. Soma (ee Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) uliyoletewa Wahy katika Kitabu na simamisha Swalaah, hakika Swalaah inazuia machafu na munkari. Na bila shaka kumdhukuru Allaah ndilo kubwa zaidi. Na Allaah Anajua yale mnayoyatenda.

سورة العكبوت

Mtu anaeswali kwa ikhlaswi na kujua nini anatafuta hawezi kuwa muovu labda kwa kuteleza tu na akiteleza anarudi kwa mola wake

وَالَّذِينَ إِذَا فَعَلُوا فَاحِشَةً أَوْ ظَلَمُوا أَنفُسَهُمْ ذَكَرُوا اللَّـهَ فَاسْتَغْفَرُوا لِذُنُوبِهِمْ وَمَن يَغْفِرُ الذُّنُوبَ إِلَّا اللَّـهُ وَلَمْ يُصِرُّوا عَلَىٰ مَا فَعَلُوا وَهُمْ يَعْلَمُونَ ﴿١٣٥﴾

135. Na ambao wanapofanya machafu au wakajidhulumu nafsi zao (kwa maasi), humdhukuru Allaah wakaomba maghfirah kwa madhambi yao. Na nani anayeghufuria madhambi isipokuwa Allaah. Na hawaendelei katika waliyoyafanya na hali wanajua.[48]
آل عمران
 
Angalia hapa utajua,
Mtu Kwa siku anapiga lakha tano na bado ana mwezi wa toba lakini kila leo anaenda kutubu, ina maana huyu mtu ni mtenda dhambi, na anafanya dhambi makusudi ili aende kutubu kila wakati, Kwa nini asifanye dhambi na atubu mara moja sio kila siku,
Haya mtu kila leo kanisani hoja kuu kunakipengele cha kuungama dhambi na ukumbuke hiyo ni kila siku, lakini huyo ndio anazini na wanakwaya, waumini, anasengenya kila leo yaani kila siku yeye ni mdhambi na kila siku anatubu tu si anajua nafasi anayo,
Wale sasa anayejua yeye ni jambazi hana dhambi nyingi yeye anakua nayo moja tu, mla rushwa pia dhambi yake ni moja tu anajua yeye anakula rusha imeisha hiyo, mzinzi anajijua kabisa yeye ni uzinzi tu yaani hili kundi wao wanaspecialize milele , lakini wenzangu na mimi ni kuvuruga tu mara hili mara vile,
Hasa ikitokea akatubu ile moja ni moja Kwa moja paradiso,
Tujitahidi kuchagua dhambi moja uifanye Kwa ustaadi ili usimchanganye huyo ndugu Mungu kama yupo,
Kama huyu top kamanda mswalihina wa Allah kule Hezbollah aliyuliwa na Israel kumbe alikuwa akifanya vitu vyake na mchepuko

View: https://x.com/Osint613/status/1818742345527181447
 
Back
Top Bottom