technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mimi nashindwa kuelewa member uwa mnatumia mbinu gani mpaka mnaanza kutongozana uku ndani?
Mnajuaje kwamba uyu ni mwanamke na uyu ni mwanaume?
Hivi wengine uwa hamlizwi kweli?
Unamwaminije mtu kwa kusoma comment yake?
Au kuangalia picha anayotumia kwenye profile yake?
Yaani unamfata mtu inbox uelewi miaka yake, tabia zake ameolewa au ajaolewa, ameoa au hajaoa!
Au wanawake na wanaume waliopo humu wana tofauti gani na waliopo mtaani.
Binafsi siwezi kumfata mtu inbox kwa namna yeyote ile labda liwe swaka secret sana kama biashara mambo mengine tunamalizana apa apa kila mtu aone.