Hivi mnajuaje kwamba uyu ni Mwanamke au mwanaume mpaka mnatongozana uku ndani?

Hivi mnajuaje kwamba uyu ni Mwanamke au mwanaume mpaka mnatongozana uku ndani?

Member anavyojieleza utamjua tu ni wanamna gani
 
Mtu ambaye anajiita baharia, lakini yeye sio baharia unategemea nini.

Nahisi wengi ni waimba visingeli😕
 
Kwa mwandiko wako tu wewe ni mwanaume...

Haujaoa bado lakini una mchuchu ambaye haupo serious naye kivileee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeanza lini kupiga ramli?
 
Back
Top Bottom