Hivi mnajuaje kwamba uyu ni Mwanamke au mwanaume mpaka mnatongozana uku ndani?

Najitanaabisha kama me humu ila nilipoweka ka avatar ka msichana nimepokea pm za mtongozo kama 3..
Bado kuitwa bebi kwenye majukwaa..
Malaya ni kama nzi..hachagui kidonda
Afueni humu kuitwa ke/me na hata ukatongozwa na me/ke mwenzio kuliko kutukaniwa mama yako mzazi ambaye yuko huko shamba alima hata hajui na hana habari kuhusu JamiiForums au hata mitandao ya kijamii.Inauma sana.
 
Wa kutukana unakuta ni ujinga tu ako nayo kichwani maana haiingii akilini mtu anakutukana hajui mama ako yuko wapi, yukoje, na anasahau pia km na mama ake yuko vilevile
 
Mwanamke akishaingia jamii forum tu anatofaut na wengi sana maana wanawake wengi wanapenda kuuza sura siyo maneno.huku hakuna kuuza sura.kwenye kufahamu huyu ni mwanamke mbona simple sa unakuta mtu kaanzisha uzi natafuta mume kunachakujiulizahapo?pia uandishi unaweza kukuonesha
 
Najitanaabisha kama me humu ila nilipoweka ka avatar ka msichana nimepokea pm za mtongozo kama 3..
Bado kuitwa bebi kwenye majukwaa..
Malaya ni kama nzi..hachagui kidonda

Ukisikia vichocheo vya ushoga ni hivyo sasa, kama wewe ni dume unaweka picha za kike ili iweje?mnapata mnachokitaka
 
@technically,Mkuu ndo maana kukawepo na neno baharia. Kwa mabaharia hilo ni jambo dogo sana
 
Duuuuuuuuh watu wana majibu jamani khaaaaa ni kwamba mmevurugwa au nn
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…