Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza.
Yaani hivi mwandishi wa kitabu yoyete mwenye kuijuwa kazi ya uandishi vizuri. Kitu cha kwanza anacho kifanya ni kujuwa walengwa au wasomaji wa kitabu chake ni watu wa aina gani?
Kwa mfano ukiandika kitabu kwaajiri ya watoto, lazima uhakikishe maneno, maudhui, stories na mifano inaweza kuelewka kiurahisi kwa wasomaji wa kitabu chako. Sasa tukirudi kwenye vitabu vya dini. Nidhahili kuwa wandishi katika vitabu vya dini walikuwa wanalenga watu wazima.
Lakini ukisoma vitabu vya dini ukiwa na open mind utagunduwa kuwa wandishi wa vitabu vya dini walikuwa wanajiona kuwa wanaakili sana kuliko watu watakao soma vitabu vyao. Yaani walijuwa kuwa wengi wa wasomaji wa vitabu hivyo watakuwa hawana elimu yoyote zaidi ya kujuwa kusoma na kuandika tu.
Kwa mfano kwenye qur’an kuna ahadi iliyotolewa kwa waumini wa dini hiyo kuwa wakifa kwa ajiri ya kazi ya Mungu wao basi watakuta mbiguni raha za kila aina ikiwa ni pamoja na kupewa wanawake 72 ambao bado ni bikra.
Kwenye bibilia walipewa ahadi kuwa wakifa wakiwa watifu kwa Mungu wao basi watakuta Mungu wao amewaandaliya makazi mazuri na watakuwa wanaishi kwa kuywa asali na maziwa tu. Sasa kwa hizo ahadi tu hazina tafauti na ahadi ccm wamekuwa wakitowa kwa watanzania kipindi cha uchaguzi. Yaani ni ahadi ambazo huwezi ukampa mtu mwenye akili timamu na akqziamini hata kwa sekundi moja. Kwa maelezo hayo naamini nimeeleweka. Ni mwendawazimu tu anaye weza kuamini kuwa ni sawa kuteseka ukiwa hai kwasababu ukifa utafurahi. Na hapo hapo ukienda makaburini huoni hata mmoja anaye furahia maisha au anaye teseka. Ukienda makaburini hakuna mtu wa shetani wala wa Mungu wote ni chakula ya wadudu na mimea iliyo karibu na makaburi.