Hivi mnamuelewa huyu mtakwimu wa Serikali

Hivi mnamuelewa huyu mtakwimu wa Serikali

kivurumula

Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
45
Reaction score
47
Binafsi sijamuelewa maan kwa takwimu ya maeneo niliyopo mpka kufika sasa bei za nafaka ni kam zifuatazo

1,mchele 2800 kutoka 1000
2,maharage 4400 kutoka 1800
3,mahindi 28000 kutoka 11500
4,njegere 5000 kutoka 2200
5,mihongo 75000 kwa gunia kutoka 35000
Hayo ni Yale tuu nayafaham
Sasa inakuaje makwimu anatuambia bei nindogo kuliko majirani

IMG_20230119_103941.jpg
 
Serikali ilikosea kuruhusu chakula kutoka bila utaratibu kwa jina la kufungua nchi, wakenya walikuwa wananunua chakula mpaka mashambani vijijini, Serikali imekuja kushtuka too late, mwaka huu wasifanye kosa kama hili
 
Usichokijua ni kwamba ukiwa mtumishi wa serikali kitu cha kwanza ni kutetea serikali iwe kwa uongo au kwa ukweli lazima utetee hta kama ni uongo.
 
Binafsi sijamuelewa maan kwa takwimu ya maeneo niliyopo mpka kufika sasa bei za nafaka ni kam zifuatazo

1,mchele 2800 kutoka 1000
2,maharage 4400 kutoka 1800
3,mahindi 28000 kutoka 11500
4,njegere 5000 kutoka 2200
5,mihongo 75000 kwa gunia kutoka 35000
Hayo ni Yale tuu nayafaham
Sasa inakuaje makwimu anatuambia bei nindogo kuliko majirani
Kwani majirani ni ngapi ili tufanye comparison analysis ?

Anyway hata ikiwa kweli mimi sioni tatizo, ila kama Serikali itakuwa bado imefeli kwa Sera mbovu sababu itaonyesha kipato chetu (income) bado hakikidhi maisha yetu kwahio bado kazi imewashinda...., Issue sio kinauzwa kiasi gani bali ni kiasi gani kinaendana na hali ya muhusika...

Hii nchi ina-invest sana kwenye propaganda badala ya kwenye real issues..., Hatutafuti mzizi wa matatizo ili kuyaondoa bali kuficha matatizo ili tujione / tuonekane tupo vizuri
 
Back
Top Bottom