Kwani naandikaga vitu vya ajabu sana au vya kushangaza?! Maana kila nikianzisha thread mpya lazima wadau wake kwa waume waje PM, wengine wanasema "Natamani siku nikuone nione kama vitu unavyoandika unafanana navyo".
Inanishangaza sana.
Mwingine Ninaweza nikapost thread Lakini akaja kuchekea PM kwangu nakutana na emoji tuu "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"
najiuliza ameshindwa kuchekea kulekule kwenye thread?
Haina shida lakini tupo pamoja.
Mike Pompeo
Director of Federal Bureau of Investigation,
Washington District of Columbia 'DC
minesota House 3rd Floor.
US.
Sent using
Jamii Forums mobile app