Hivi mnanichukuliaje hapa Jukwaani?

ni under 18
 
kuna mda unawaza kwa kasi kiasi kwamba unachoandika kinakosa mashiko, bora ungefanya hii kwenye thread moja ya jokes and gossip shida ni kwamba unavamia kila thread. Huu ni mtazamo usinikunjie mdomo bro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi ndiyo naiona leo Post yako na bado havutii. Upuuzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…