Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bsc n physics ina soko ndugu yangu board ya atomic mnaitajika watu kama nyiny pia hosptal namnaitaji radiation dose calculationWatanzania wengi tunataka ajira .juhud zetu kwenye elimu ni ajira
Mimi ni mmoja wa hizo kozi ambazo zaidi hazitambuliwi hata na ajira portal .nachukua bsc physics .. Ndo zangu ni kuja kujiajiri kama electronic technician kitu ambacho tayar nimeanza kufanyia kazi.. Kuchekwa kudhauliwa tumezoea pengine si hawa tu hta wakufunzi wetu wamekuwa wakitudhika lakin yote kwa yote mnapo tuchekia muombe simu zenu na redio zisiharibike maana ajira zake hazipo portal
Umenena lolote laweza kutokeaSema haya mambo hayana formula [emoji16][emoji16]
Ndio lolote laweza tokeaUmenena lolote laweza kutokea