Watanzania wengi tunataka ajira .juhud zetu kwenye elimu ni ajira
Mimi ni mmoja wa hizo kozi ambazo zaidi hazitambuliwi hata na ajira portal .nachukua bsc physics .. Ndo zangu ni kuja kujiajiri kama electronic technician kitu ambacho tayar nimeanza kufanyia kazi.. Kuchekwa kudhauliwa tumezoea pengine si hawa tu hta wakufunzi wetu wamekuwa wakitudhika lakin yote kwa yote mnapo tuchekia muombe simu zenu na redio zisiharibike maana ajira zake hazipo portal