Hivi mnataka mpendejwe?

Hivi mnataka mpendejwe?

hili swala na "nyumba yangu" limetia ndoa nyingi sana kwenye misukosuko. Bishanga anaamini kwamba kwa kuwa nyumba ni yake basi ana haki ya kurudu usiku anaoutaka na kila kiumbe kinachoishi katika nyumba yake ni furniture, including mke wake
Nimeshangaa sana watu wana nyumba zao na wakikosea wake zao au wakigombana bado wanawaambia wake zao "mi nitaondoka nikuachie nyumba yako" kumbuka hapo hata tofali hukuchangia. Hao ndio tunawaita ma gentle man
 
Mbona hamjamuuliza anaoneshaje mapenzi kwa mke wake, au ni mwanamke tu ndiyo anatakiwa kuonesha mapenzi kwa kunyenyekea na kutokuuliza maswali
Ndio yote hayo anatakiwa ajiangalie wapi na ajue anakosea wapi ila kamkosea sana mtoto w a watu mapenzi kuulizana ulikuwa wapi unaenda wapi, leo usitoke nataka kuwa na wewe rudi nyumbani mume wangu nakusubiri na mengineyo, sasa kama anayachukia alijiingiza kwenye mapenzi kufanya nini? si angebaki na nyumba yake akirudi anaibusu kwa nje anaingia ndani kulala kama nyumba ni kila kitu
 
Kwa tabia hizi mnafikiri tutawataka, bora twende na vibabu vya kizungu hata vinatusikiliza kuliko nyie mnakuja usiku hamtaki kuulizwa, huko bar mnakaa kaa na vimada mkiulizwa vita, ahaha nimechoka, eti mwingine anashauri utafute nyumba ndogo imekula kwenu, ningemuona huyo mkeo ningempa dili la kupata mzungu ndio ungejua. Weka namba ya simu ya huyo mkeo alete na picha uone mambo. Acheni hizooo zimepitwa na wakati. Mke au mume kila mmoja natakiwa kupewa heshima, Acha mfumo dume. Tena endeleeni tu, tutawawekea na mazamu ya kufua kupika na kunyonyesha we ngoja. eti unampa kila kitu sijui gari watoto unatunza sijua full tank WHAT IS THAT? Alitoka kwao kwa ajili yako sio vitu. Mbona vitu tunaweza kutafuta tu. kwa kwa vile tunawaheshimu bana. KATAFUTE NJIA YA KUELEWANA NA MKEO ACHA UONEVU. NIKIMUONA TU NAMPA DILI LA MMBABU WA KIZUNGU.

Naomba hilo dili Mpendwa, Hawa wanaume wamezidi kutunyanyasa. Ubinafsi umewazidi, kila kitu wanajiweka mbele na kujiona Bora kuliko wake zao, wabinafsi hadi kitandani.
Maisha yenyewe mafupi hamna haja ya kujitesa hivi. Kama ni watoto, gari yake na kila kitu namwachia, sijafuata mali kwake, nahitaji furaha na amani maishani.
 
Baada ya kupitia thread nzima nimeamsha mikono,ma great thinka nyie kweli nimewakubali!NAWASHUKURU WOTE MLIOCHANGIA.
 
Mi ndo kidume heshima ipo tena mara dufu sasa hivi mi nadeka nagombaniwa leo nilale kwa mke yupi nagombaniwa kupikiwa msosi
Wala nilikua sijiskii kucheka leo mwe! watu mnavisa

Sa tukikunjua makucha kabla ya kuolewa, tutaolewa kweli jamani?
Hahahaha lol!

Ndio yote hayo anatakiwa ajiangalie wapi na ajue anakosea wapi ila kamkosea sana mtoto w a watu mapenzi kuulizana ulikuwa wapi unaenda wapi, leo usitoke nataka kuwa na wewe rudi nyumbani mume wangu nakusubiri na mengineyo, sasa kama anayachukia alijiingiza kwenye mapenzi kufanya nini? si angebaki na nyumba yake akirudi anaibusu kwa nje anaingia ndani kulala kama nyumba ni kila kitu
Hahahahaha mwe!

Naomba hilo dili Mpendwa, Hawa wanaume wamezidi kutunyanyasa. Ubinafsi umewazidi, kila kitu wanajiweka mbele na kujiona Bora kuliko wake zao, wabinafsi hadi kitandani.
Maisha yenyewe mafupi hamna haja ya kujitesa hivi. Kama ni watoto, gari yake na kila kitu namwachia, sijafuata mali kwake, nahitaji furaha na amani maishani.
Kweli mwayego hilo dili hebu nipatie na mie, nahitaji kubembelezwa kama mjukuu na kibabu lol
 
Shukuru Mungu umepata anaekuhoji. Wengine wananuna tu, ambao nadhani ni wabaya zaidi.

hili nalo neno,
Tena wa kununa nao wapo wengi kweli,
yawezekana hata wewe nyumba kubwa ni mmoja wapo!!!!!!
 
Ni bora uonyeshe makucha yako mapema mwenzio akujua kuliko kuwa na nidhamu feki.
Wewe hapa sasa unataka tukose waume. Makucha mapema ya nini? Ila ukiona mwanamke anakuonyesha makucha yake ujue na wewe umemwonyesha ya kwako, cha msingi ni kuheshimiana na kupendana ili tusionyeshane makucha.
 
Naomba hilo dili Mpendwa, Hawa wanaume wamezidi kutunyanyasa. Ubinafsi umewazidi, kila kitu wanajiweka mbele na kujiona Bora kuliko wake zao, wabinafsi hadi kitandani.
Maisha yenyewe mafupi hamna haja ya kujitesa hivi. Kama ni watoto, gari yake na kila kitu namwachia, sijafuata mali kwake, nahitaji furaha na amani maishani.

mai mai mai maweeee
 
Liz, I have always like your advice! Ndoa sio ubabe na kufokeana. ndoa sio nanani anajua zaidi ya mwingine! ndoa sio kupigana mangumi na mateke! Ndoa ni kusikilizana! ndio maana kwneye harusi utasikia UCHUMBA NI MAPATANO NA MKAZIWE NI KUTEGEEZANA! Ndio maana halisi ya ndoa! lakini wanandoa wanakosea sana, mwanamke kujiona yeye anajua kuliko mume wake, na mwanaume kuwa KIDUME kwa kuwa mara nyingi ni bread earner! Liz, BAELEZEEEEEEEEEE!!!!!!
 
mmmmh,
tunajua kweli kuziongelea nadharia za ndoa,
midomoni mwetu........
Laiti haya yangegeuzwa kwa vitendo,
ndoa hizi zingekuwa na amani tele, lol....
 
Back
Top Bottom