NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Na hakuna mbwa yoyote atasusa kupeleka timu uwanjani 15/06/2025.Hakuna mbwa yoyote ataishusha Yanga Daraja
Hakuna mwa yoyote ataipoka Yanga alama 15
Hakuna mbwa yoyote atawapa 5imba points 3 za mezani
Uto mnajikutaga kina Van Damme fulani kumbe ni vikatuni tuMsichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda Yao kubwa ni kuwaomba watendaji Wa Yanga SC walete timu uwanjani
Na inasemekana Bodi ya Ligi wameambiwa waombe radhi hadharani kwa utumbo walioufanya pamoja na mwenyekiti Lakini kuna Upande Wa pili umeona ni kama kuwafedhehesha.
TFF na Bodi ya Ligi hawana uwezo Wa kuishusha Yanga SC daraja kama wanavyotoa matamko endapo wasipoleta timu hiyo tar jun 15.
Nani alikwambia Yanga ina mtendaji anaitwa baunsaNa hakuna mbwa yoyote atasusa kupeleka timu uwanjani 15/06/2025.
Mkumbuke kuongea na Meneja wa uwanja na mabausa wenu, tunakuja kufanya mazoezi usiku wa kuamkia siku ya mechi. Funguo za geti ziwe karibu na muweke malisho ya kutosha ya mbuzi wetu tutakaokuja nao.
WAMEAMBIWA NA NANIMsichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda Yao kubwa ni kuwaomba watendaji Wa Yanga SC walete timu uwanjani
Na inasemekana Bodi ya Ligi wameambiwa waombe radhi hadharani kwa utumbo walioufanya pamoja na mwenyekiti Lakini kuna Upande Wa pili umeona ni kama kuwafedhehesha.
TFF na Bodi ya Ligi hawana uwezo Wa kuishusha Yanga SC daraja kama wanavyotoa matamko endapo wasipoleta timu hiyo tar jun 15.
Unazidi kujidhihirisha kuwa wewe ni mgeni kwenye mpira wa TanzaniaNani alikwambia Yanga ina mtendaji anaitwa baunsa
Mabaunsa mliwaleta wenyewe ili mkimbie kipigoUnazidi kujidhihirisha kuwa wewe ni mgeni kwenye mpira wa Tanzania
Subiri utauona ukubwa wa YangaIli tujue kweli
Basi msipeleke timu
Halafu tuone.
Kumbuka serikari haiwezi kuingilia mpira.
Na hili mtafanywa Mbuzi wa kafara
Mbumbumbu bana barua ya CAS ulisomewa na Binti kachumbari?AYA MA UTOPOLO YALIVO PELEKA MALALAMIKO YAO CAS TULIYAONYA SANA ILA YAKAKAZA FUVU YAMEANGUKIA PUA SANA YANATAFUTA UPENYO WA KUTOKEA
Ukubwa wa Yanga au ukubwa wa sisiem, hujui rais wenu kuna jimbo analitaka, atapigiwa simu moja tuu na JK au JN maana ndio platform ya sisiemSubiri utauona ukubwa wa Yanga
Kama ambavyo waliogopa kuishisha Simba hata Yanga haitashuka.Msichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda Yao kubwa ni kuwaomba watendaji Wa Yanga SC walete timu uwanjani
Na inasemekana Bodi ya Ligi wameambiwa waombe radhi hadharani kwa utumbo walioufanya pamoja na mwenyekiti Lakini kuna Upande Wa pili umeona ni kama kuwafedhehesha.
TFF na Bodi ya Ligi hawana uwezo Wa kuishusha Yanga SC daraja kama wanavyotoa matamko endapo wasipoleta timu hiyo tar jun 15.
Bodi ya ligi hawatoshi kwenye nafasi zao wapo kama mabua, (figure heads)Kinachoonekana TFF haijaonesha nani kafanya kosa/kubwa zaidi na uwajibikaji wake hata wa kuomba msamaha.
Kitendo cha kupanga tarehe ya mchezo wakati hawajafikia muafaka naona sio sawa.....kwani wanaleta tena mkanganyiko kwenye soka na kwa washabiki
Naamini wanajua kuwa washabiki ni wadau muhimu kwenye kuendesha TFF na hizo timu zenyewe...