Msichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda Yao kubwa ni kuwaomba watendaji Wa Yanga SC walete timu uwanjani
Na inasemekana Bodi ya Ligi wameambiwa waombe radhi hadharani kwa utumbo walioufanya pamoja na mwenyekiti Lakini kuna Upande Wa pili umeona ni kama kuwafedhehesha.
TFF na Bodi ya Ligi hawana uwezo Wa kuishusha Yanga SC daraja kama wanavyotoa matamko endapo wasipoleta timu hiyo tar jun 15.