waishushe watakipatapata pale karume watapaona kama jehannamMsichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda Yao kubwa ni kuwaomba watendaji Wa Yanga SC walete timu uwanjani
Na inasemekana Bodi ya Ligi wameambiwa waombe radhi hadharani kwa utumbo walioufanya pamoja na mwenyekiti Lakini kuna Upande Wa pili umeona ni kama kuwafedhehesha.
TFF na Bodi ya Ligi hawana uwezo Wa kuishusha Yanga SC daraja kama wanavyotoa matamko endapo wasipoleta timu hiyo tar jun 15.
Msilete timu uwanjani ili tujuwe wanaweza au hawawezi?Msichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda Yao kubwa ni kuwaomba watendaji Wa Yanga SC walete timu uwanjani
Na inasemekana Bodi ya Ligi wameambiwa waombe radhi hadharani kwa utumbo walioufanya pamoja na mwenyekiti Lakini kuna Upande Wa pili umeona ni kama kuwafedhehesha.
TFF na Bodi ya Ligi hawana uwezo Wa kuishusha Yanga SC daraja kama wanavyotoa matamko endapo wasipoleta timu hiyo tar jun 15.
Kwani TFF haijawahi kuisadia yanga hata mara moja mpaka wapite kote huko kama TFF angekuwa anafuata sheria basi yanga ingekuwa team ya kwanza kushuka daraja wamewasaidia sana na mlivyokuwa hamjuia sheria mngekuwa mmeshafilisika.Msichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda Yao kubwa ni kuwaomba watendaji Wa Yanga SC walete timu uwanjani
Na inasemekana Bodi ya Ligi wameambiwa waombe radhi hadharani kwa utumbo walioufanya pamoja na mwenyekiti Lakini kuna Upande Wa pili umeona ni kama kuwafedhehesha.
TFF na Bodi ya Ligi hawana uwezo Wa kuishusha Yanga SC daraja kama wanavyotoa matamko endapo wasipoleta timu hiyo tar jun 15.
Tusiumize vichwa Yanga ataleta timu na mechi itakuwepo.Msichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda Yao kubwa ni kuwaomba watendaji Wa Yanga SC walete timu uwanjani
Na inasemekana Bodi ya Ligi wameambiwa waombe radhi hadharani kwa utumbo walioufanya pamoja na mwenyekiti Lakini kuna Upande Wa pili umeona ni kama kuwafedhehesha.
TFF na Bodi ya Ligi hawana uwezo Wa kuishusha Yanga SC daraja kama wanavyotoa matamko endapo wasipoleta timu hiyo tar jun 15.
Tunaomba utewekee mikataba ya ajira ya mabaunsa wa Yanga wewe mwenyeji wa Mpira.Unazidi kujidhihirisha kuwa wewe ni mgeni kwenye mpira wa Tanzania
Nani aliwatuma TFF wawasaidie Yanga? Mtatoa kila mlio ila hatuchezi.Kwani TFF haijawahi kuisadia yanga hata mara moja mpaka wapite kote huko kama TFF angekuwa anafuata sheria basi yanga ingekuwa team ya kwanza kushuka daraja wamewasaidia sana na mlivyokuwa hamjuia sheria mngekuwa mmeshafilisika.
Siyo kuishusha tu Yanga, hata Bodi na TFF yenyewe itashuka daraja.Msichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda Yao kubwa ni kuwaomba watendaji Wa Yanga SC walete timu uwanjani
Na inasemekana Bodi ya Ligi wameambiwa waombe radhi hadharani kwa utumbo walioufanya pamoja na mwenyekiti Lakini kuna Upande Wa pili umeona ni kama kuwafedhehesha.
TFF na Bodi ya Ligi hawana uwezo Wa kuishusha Yanga SC daraja kama wanavyotoa matamko endapo wasipoleta timu hiyo tar jun 15.
Hawana. Kama ambavyo hawakuwa nao wakati Simba inagoma kucheza.Msichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda Yao kubwa ni kuwaomba watendaji Wa Yanga SC walete timu uwanjani
Na inasemekana Bodi ya Ligi wameambiwa waombe radhi hadharani kwa utumbo walioufanya pamoja na mwenyekiti Lakini kuna Upande Wa pili umeona ni kama kuwafedhehesha.
TFF na Bodi ya Ligi hawana uwezo Wa kuishusha Yanga SC daraja kama wanavyotoa matamko endapo wasipoleta timu hiyo tar jun 15.
Mbona mihemkoMsichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda Yao kubwa ni kuwaomba watendaji Wa Yanga SC walete timu uwanjani
Na inasemekana Bodi ya Ligi wameambiwa waombe radhi hadharani kwa utumbo walioufanya pamoja na mwenyekiti Lakini kuna Upande Wa pili umeona ni kama kuwafedhehesha.
TFF na Bodi ya Ligi hawana uwezo Wa kuishusha Yanga SC daraja kama wanavyotoa matamko endapo wasipoleta timu hiyo tar jun 15.
Sasa tutakuwaje na uhakika wakati hawajaleta timu. Subiri waache kuleta timu ndio tijue yote hayo😎Msichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.
Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda Yao kubwa ni kuwaomba watendaji Wa Yanga SC walete timu uwanjani
Na inasemekana Bodi ya Ligi wameambiwa waombe radhi hadharani kwa utumbo walioufanya pamoja na mwenyekiti Lakini kuna Upande Wa pili umeona ni kama kuwafedhehesha.
TFF na Bodi ya Ligi hawana uwezo Wa kuishusha Yanga SC daraja kama wanavyotoa matamko endapo wasipoleta timu hiyo tar jun 15.
Soma sheria za soka,Msichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe.