Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
Hivi mnawezaje kuishi na hii ya wanawake? Wakuu ebu mnieleweaheni aisee labda kwa sababu ya ugeni au nini aisee aisee ipo hivi huyu mwanamke nilimuoa tena kwa mahari si haba kidogo nakahisi labda yupo tofauti na wanawake wengine wa mjini na ukizingatia kwenye kabila lile la kanda ya ziwa ambalo kwa miaka mingi limesifika kwamba wanawake wake wana heshima aisee kumbe? Wewe kijana ambaye haujaoa aisee usioe kabila oa mwanamke mwenye brain na character aiseee
Mwanamke inafikia hatua anakuambia eti ukiniacha mimi hautapata mwanamke mwingine kama mimi na pia anakuambia eti ukiniacha mimi nitaolewa na mwanaume wowote yule tena kwa mahari kubwa sana nakasema huyu ngoja nimuoneshe nikamrudisha kwao that time alikuwa na ujauzito na akajifungua tu Ila baada ya kupata mtoto amekuwa na kisirani kila siku aisee eti oooh mbona haupigi simu kumuuliza mtoto Hali yake na simu kwa simu anaweza kupiga zaidi ya mara 5 mpaka inanikera
Na sasa anaomba msamaha arudi kwangu eti tulee mtoto ila akifikisha miaka miwili ndipo nimuache nikajisemea kimoyo moyo nikasema usinitanie mie mwanamke mpumbavu harudiwi akirudi kwako utaomba poo
Halafu ndugu zake walivyo michosho sasa kutwa kupiga simu wakitaka niwamalizie mahari iliyobaki nikajisemea kimoyo moyo siwamalizii mahari nitamalizia mahari vipi kwa mwanamke mjinga hivyo? Potelea pote wao si hawakumfunza mtoto wao?
Mwanamke anarusha ngumi kumpiga mume wake? Maneno ya kejeli na mwanamke ana hasira kama nini
Moderator uzi mtaupeleka kule kwenye jukwaa husika nimeandika kwa hasira mpaka nikashindwa kuupeleka kwenye jukwaa husika aisee