MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Usije ukaingia huo mtego wa tulee mtoto akue ndio uniache.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kwenda kuziba nafasi iliyo achwa wazi ety? AhahahahPole sana shemegi, kwahiyo sahivi uko mwenyewe? Uko wapi?
Hapana 😹Unataka kwenda kuziba nafasi iliyo achwa wazi ety? Ahahahah
Nakuona kbisa jins ulivyo uliza swaliHapana 😹
Tako analo au hana tujue tunaanzia wapiHivi mnawezaje kuishi na hii ya wanawake? Wakuu ebu mnieleweaheni aisee labda kwa sababu ya ugeni au nini aisee aisee ipo hivi huyu mwanamke nilimuoa tena kwa mahari si haba kidogo nakahisi labda yupo tofauti na wanawake wengine wa mjini na ukizingatia kwenye kabila lile la kanda ya ziwa ambalo kwa miaka mingi limesifika kwamba wanawake wake wana heshima aisee kumbe? Wewe kijana ambaye haujaoa aisee usioe kabila oa mwanamke mwenye brain na character aiseee
Mwanamke inafikia hatua anakuambia eti ukiniacha mimi hautapata mwanamke mwingine kama mimi na pia anakuambia eti ukiniacha mimi nitaolewa na mwanaume wowote yule tena kwa mahari kubwa sana nakasema huyu ngoja nimuoneshe nikamrudisha kwao that time alikuwa na ujauzito na akajifungua tu Ila baada ya kupata mtoto amekuwa na kisirani kila siku aisee eti oooh mbona haupigi simu kumuuliza mtoto Hali yake na simu kwa simu anaweza kupiga zaidi ya mara 5 mpaka inanikera
Na sasa anaomba msamaha arudi kwangu eti tulee mtoto ila akifikisha miaka miwili ndipo nimuache nikajisemea kimoyo moyo nikasema usinitanie mie mwanamke mpumbavu harudiwi akirudi kwako utaomba poo
Halafu ndugu zake walivyo michosho sasa kutwa kupiga simu wakitaka niwamalizie mahari iliyobaki nikajisemea kimoyo moyo siwamalizii mahari nitamalizia mahari vipi kwa mwanamke mjinga hivyo? Potelea pote wao si hawakumfunza mtoto wao?
Mwanamke anarusha ngumi kumpiga mume wake? Maneno ya kejeli na mwanamke ana hasira kama nini
Moderator uzi mtaupeleka kule kwenye jukwaa husika nimeandika kwa hasira mpaka nikashindwa kuupeleka kwenye jukwaa husika aisee
cc aliyekuwa mke wa Mwaka, somebody nani nani Masanjakwahiyo wewe ulioa kabila, kwakuwa uliambiwa wasukuma wana heshima ukajaa kwenye mfumo?
amehadaika na ile kupiga magotcc aliyekuwa mke wa Mwaka, somebody nani nani Masanja
Ukikubali kuwa mbwa hakuna shida.Wala hakuna shida hata nikiwa kama mbwa wake kikubwa mahari itolewe mkuu
AminaUkikubali kuwa mbwa hakuna shida.
Kusoma kwa ufahamu ni tabu sana kwa Watanzania wengi.Brother kiranga kwaio wewe ni single father.
Unakataa taasisi ya ndoa.