dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Hance naona umerudi kwenye game yako😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I repeat,ONE MAN DOWN😂😂😂One man down
Mashangingi ya TownHili bifu naona limevuka mpaka sasa, yani ukiona kuna bifu mpaka kufika hatua ya kukataa kuzikana ujue hilo bifu si la kitoto.
Ila ninachojiuliza mimi , bifu lao ni hiyo tuzo tu au kuna lingine chini ya kapeti?
Esha nimemuona mshamba sana binafsi nipo upande wa Shilole , yeye mbona alipopewa tuzo mwaka jana hakuna aliyepiga kelele ,mbona mwenzake alichukulia poa tu na maisha yakasonga?
Eti mwaka huu kakosa tuzo kaanza vijimaneno maneno kama huo sio uchawi na husda ni nini?
Ila kwa Shishi , Buheti ameyakanyaga , Shishi ni chizi ujue 😂😂😂😂😂😂 ameshindwa Snura sembuse Buheti.
Na hiyo pointi ya kusema yeye anajua kupika kuliko Shishi ni pointi ya kipumbavu , watu tunaangalia mafanikio ya biashara yako ndipo tuna kupa tuzo ya mpishi bora.
Na alivyo mjinga eti anasema Shishi anapenda kuwapa watu chakula bure ili aonekane ana watu wengi ,haloo hapa nimemdharau Buheti kwa kiasi kikubwa sana.
Mafanikio ya Shishi hayajifichi,
Shishi ameshajitafuta sana kwenye uigizaji hakujipata , akajaribu muziki pia hakujipata ila tangu aingie kwenye chakula amejipata mno hivyo Buheti asijilinganishe na Shishi.
Yeye Buheti hata mtaji wenyewe wa biashara kahongwa na bwana wake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Buheti acheze anapochezaga , uchawi sio dili 😂😂😂
Eti Ki Buheti kimepaniki mpaka kinasema akifa hataki Shilole amzike ,So whaaaat , yeye ni nani haswa ? Wakati hata udugu na Shilole hawana 😂😂😂😂😂
Na Shilole kashamwambia akiona amepaniki sana aje wazichape 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 maana Buheti alimuanza shilole kwa kukwambia eti amezoea kuonea mabwana wake kwake amegonga ukuta,Shishi kaona mambo yasiwe mengi wakutane wachapane , Buheti kachana nyavu kaogopa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwambieni Buheti asishindane na Shilole, Shilole ni chizi ujue na yeye haogopi kudhalilika kwa lolote yeye yupo freshi
View attachment 3052853
Esha Buheti .
View attachment 3052854
Zuwena Mohammed (Shilole/Shishi).
Unaandika ukiwa wapi.....Sijawahi kula misosi yao.....ila esha msosi wake huwa unavutia kwa kuangalia.
Kuhusu bifu watajijua wenyewe
Nipigie nlikua napika 😁Unaandika ukiwa wapi.....