Hivi 'mnyama' Putin ana familia kweli?

Hivi 'mnyama' Putin ana familia kweli?

The interview it’s when they ware still little girls sio watu wazima na marriage walioa sio watu wa mchezo mmoja amedivorce na mtoto wa billionaire huko russia .
Duh, kapewa talaka na mhuni au sio?
 
Analia kwa mke wake huyo nakwambia. Chezea mfereji maringo wewe!
 
Duuuh! Jamaa anaonekana mchovu kwenye sex nini?
Ana Watoto 4


Wakiume wawili mapacha aliozaa na Yupe Dada Bingwa wa Olimpiki..

NA Wale wasichana wawili wa Ndoa yake ya Kwanza wote wakubwa watu wazima wana watoto na wao ila Kutokana na protocol za usalama wanafichwa sana hata Sura nadhani inawasaidia Kuishi kwa amani Pia mana kujulikana kwao ingekua mateso...
ULINZI ni mkubwa na Masaa yote wanalindwa.
Alina Kabaeva
 
Mkuu jamaa kwa Ujajusi wake huenda aliona mke wake atakuwa threat,, maana yake ni rahisi sana mke kutumika kuangusha ngome...

Ndio maana hata familia yake iko hidden kwa vile hataki waje watumike kumdhoofisha kwa namna yoyote ile....

Huenda hata hawakuachana ni mikakati tu ya kijasusi... Ili mke awe safe.
 
Back
Top Bottom