MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
ukimbie kwanini ? uvunjike miguu au ugongwe na baiskeli bure tu kwaajili ya laki moja ambayo hujaitolea jasho? hapana usifanye hivyo, wala MoD hawezi fanya hivyo coz hujui alokosea kanuia nini na hilo jasho lake lililokosea njia.Tuseme bilionea yupo asubuhi ofisini anaendelea na majukumu Mara ghafla inaingia laki moja kwenye simu kimakosa,je hapa bilionea hawezi kuacha shughuli zake na kuchukua lifti kwenda kwa wakala kuwahi kuitoa?
Hapa tunaongelea bilionea anayewalipa wafanyakazi wake wa viwandani chini ya laki 2 kwa mwezi.
Hawezi kuchukua hii na ikamsaidia kidogo kwenye mambo yake?
Kwenye mambo ya kijinga na mawazo ya njaanjaa ndiyo Mo unamtolea mfano?Tuseme bilionea yupo asubuhi ofisini anaendelea na majukumu Mara ghafla inaingia laki moja kwenye simu kimakosa,je hapa bilionea hawezi kuacha shughuli zake na kuchukua lifti kwenda kwa wakala kuwahi kuitoa?
Hapa tunaongelea bilionea anayewalipa wafanyakazi wake wa viwandani chini ya laki 2 kwa mwezi.
Hawezi kuchukua hii na ikamsaidia kidogo kwenye mambo yake?
Utajiri wake ulitangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi (NEC)isiyoaminika?MO DEWJI is overrated RICH MAN.
Tajiri bahili Sana,Utajiri wake ulitangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi (NEC)isiyoaminika?
Ubahili ni sehemu moja.Je,hamuwaamini Forbes walioudhihirisha utajiri wake?Kwani ulitaka agawie watu fedha kama ubwabwa wa harusini ili asionekane bahili?Tajiri bahili Sana,
Hafanani na tajiri wa kwl.
Utajiri wake haufanani na uhalisia.Ubahili ni sehemu moja.Je,hamuwaamini Forbes walioudhihirisha utajiri wake?Kwani ulitaka agawie watu fedha kama ubwabwa wa harusini ili asionekane bahili?