Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mawazo ya ajabu sana.Huyo mlinzi alikuambia halipwi ujira wake?Hilo shamba ulienda mwaka gani?Ulikuwa unapita tu au safari yako ilikuwa ufike hapo?Utajiri wake haufanani na uhalisia.
Kuna siku nilikwenda Kisarawe ana eneo heka 150 lakini Pori tupu.
Nliibahatika kuonana na mlinzi wa eneo lile akanipiga kizinga,,
Eti hali mbaya sn.
Dah!! [emoji23][emoji23][emoji23].
Eti mlinzi wa shmba wa tajiri top 10 Africa ananipigia kizinga.