Hivi Mo Dewji akipokea laki moja kimakosa hawezi kukimbia kwa wakala kuitoa?

Mawazo ya ajabu sana.Huyo mlinzi alikuambia halipwi ujira wake?Hilo shamba ulienda mwaka gani?Ulikuwa unapita tu au safari yako ilikuwa ufike hapo?
 
Shamba mwaka huu mkuu..

Jamaa ana shamba lipo mzenga ,,kisarawe.

Kwanza hata hyo nyumba ya mlinzi aibu tupu.
 
Kuwa na shamba ni jambo moja.Na kupanga kwa umakini matumizi yake hufuata baadaye.
Ulitaka mlinzi ajengewe kajighorofa kenye samani ndani ili alale vizuri na kusahau lindo?Kwani kazi ya mlinzi ni ipi hasa?
 
Kwahyo mlinzi anapoishi nyumba yenye crakes ukutani,
Na ceiling board kufumuka ni Sawa?
 
Ukipewa mafunzo ya kiaskari na ubunifu utafundishwa/akili za kujiongeza.Nyufa zitamsaidia kuwaona maadui kwa urahisi.Dari la nini sehemu yenye joto huko.Ukimuona tena huyo mlinzi mwambie aache kujidekeza.
 
Sawa mkuu
 
Mawazo ya ajabu sana.Huyo mlinzi alikuambia halipwi ujira wake?Hilo shamba ulienda mwaka gani?Ulikuwa unapita tu au safari yako ilikuwa ufike hapo?
Hajui kama hela zinaisha kalipwa hela kaishiwa kwanini asililie njaa.si ni sawa na serikali ina hela lakini watumish wake wakiishiwa wanalia..mshahara haujawahi kutosha
 
utani kwenye hela uwa sipendi.nakwenda kuitoa naitumia.ili kesho uwe makini
 
Yaani unaandika kama vile tumekaa kijiweni! Eti ikiingia laki moja! laki moja nini, shilingi, yuro au dola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…