Hahahaaaa. Ningeandika gazeti pale. [emoji85] [emoji85]Mimi nilikua namuambia anihadisie hataki ndio mana nilishindwa kukuita, sasa sijui alikua anaona vitu gani....
Aisee! basi utatuma voice note tu whatsapp... hahahahHahahaaaa. Ningeandika gazeti pale. [emoji85] [emoji85]
Hahahaaa. Sawa.Aisee! basi utatuma voice note tu whatsapp... hahahah
[emoji23][emoji23]Jamani mtusimulie mlioangalia, mi zimebaki MB 30 na sina hela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aya kaa kwenye foleni tusubiri mkombozi
Nimekuvizieni ili nipate jua yaliyomo nawaona mnarushiana mpira tu kama mwacheza kombolela vileNdio nini sasa hiki rafiki?
Nihadithie bana.
Hujaifungua na ww tuhadithie bas![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa. Nimecheka sana leo yaani.Nimekuvizieni ili nipate jua yaliyomo nawaona mnarushiana mpira tu kama mwacheza kombolela vile
Hahahaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaaa. Nimecheka sana leo yaaani.Hujaifungua na ww tuhadithie bas!
Siku sio nyingi naresign jfHahahaaaa. Nimecheka sana leo yaani.
Sio kwa ugumu walio nao watu aiseee. Inabidi mleta uzi atudadavulie tu kwa kweli. Sababu bando ni changamoto.
Kwa nini sasa? [emoji12]Siku sio nyingi naresign jf
Mngh!Hahaaaaa. Nimecheka sana leo yaaani.
Naachana nayo tuKwa nini sasa? [emoji12]
Kuna mtu anapita mbele ya wadada watatu walioketi.mie bando mzozo mmeona nin mliofungua[emoji188]