Hivi Mose Iyobo na dancers wa WCB ndio hawana kazi tena?

Hivi Mose Iyobo na dancers wa WCB ndio hawana kazi tena?

Wakati Diamond alivokuwa anatoka kimziki alikuwa ana uhitaji wa dancers lakini nyimbo zake za siku hizi hahitaji tena dancers mfano nyimbo alizotoa hivi karibuni, dah wanahuzunisha kweli ata trip za nje hawaendi sijui wako wapi now.


Ndiyo maana Aunt Ezekiel kamgomea Iyobo ndoa, zamani alikuwa hajali mwanamme mkata mauno ila sasa anadai hiyo si kazi ya mwanamme kufanya.
 
Wazee mnajua kufufua nyuzi nilikua nishasahau ata kama kuna hii post😄😄😄 pambaneni nao asee achen niwaache
 
Back
Top Bottom