The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Sep 16, 2018 #161 Humo humo bhachu said: Humohumo Click to expand...
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Sep 16, 2018 #162 Iyobo Airlines coming soon
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 9,836 Reaction score 7,231 Sep 16, 2018 #163 ngebo said: Wakati Diamond alivokuwa anatoka kimziki alikuwa ana uhitaji wa dancers lakini nyimbo zake za siku hizi hahitaji tena dancers mfano nyimbo alizotoa hivi karibuni, dah wanahuzunisha kweli ata trip za nje hawaendi sijui wako wapi now. Click to expand... Ndiyo maana Aunt Ezekiel kamgomea Iyobo ndoa, zamani alikuwa hajali mwanamme mkata mauno ila sasa anadai hiyo si kazi ya mwanamme kufanya.
ngebo said: Wakati Diamond alivokuwa anatoka kimziki alikuwa ana uhitaji wa dancers lakini nyimbo zake za siku hizi hahitaji tena dancers mfano nyimbo alizotoa hivi karibuni, dah wanahuzunisha kweli ata trip za nje hawaendi sijui wako wapi now. Click to expand... Ndiyo maana Aunt Ezekiel kamgomea Iyobo ndoa, zamani alikuwa hajali mwanamme mkata mauno ila sasa anadai hiyo si kazi ya mwanamme kufanya.
ngebo JF-Expert Member Joined Sep 8, 2017 Posts 1,684 Reaction score 2,126 Sep 16, 2018 Thread starter #164 Wazee mnajua kufufua nyuzi nilikua nishasahau ata kama kuna hii post😄😄😄 pambaneni nao asee achen niwaache
Wazee mnajua kufufua nyuzi nilikua nishasahau ata kama kuna hii post😄😄😄 pambaneni nao asee achen niwaache