Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mbowe alifungwa ? Alienda kufagia kinyesi hospital? Mkuu unajua maana ya comparison analysis?Walifungwa miaka 3 Lakini wakaachiliwa kama Bilionea Mbowe kwenye Ugaidi
Nilitaka uione tofauti kukaa jela za Bongo ni ufungwa tuMbowe alifungwa ? Alienda kufagia kinyesi hospital? Mkuu unajua maana ya comparison analysis?
Jitahidi kusoma acha uchawa itakusaidia baadae!
Anashikiliwa Niffer kwa kuchangisha michango ya maana kariakoo.. Wengine wahusika wakuu sijaonaHili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.
Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.
Waandishi wa habari, vipi mbona na nyie humuhoji?
Au wadau humu mnasemaje?
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Mmiliki zaidi ya kadi ya mbogamboga, anaishi ndani ya mifuko ya Hazina piaMmiliki huenda ana kadi ya kijani
Tuna Waziri Mkuu wa ajabu sanaAnashikiliwa Niffer kwa kuchangisha michango ya maana kariakoo.. Wengine wahusika wakuu sijaona
Eeh , kumbe !Mmiliki zaidi ya kadi ya mbogamboga, anaishi ndani ya mifuko ya Hazina pia
Kama ni upelelezi, basi ni wajibu wa yeyote mwenye taarifa kusaidia vyombo husika. Si lazima mtu ashikiliwe polisi ndio awe na uwezo wa kusaidia upelelezi.Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.
Ilikuwa ni awamu moja tu katika historia ya Tanzania ambayo Mwenye pesa anaweza kufanywa chochote kwa mujibu wa sheria, sasa hivi mwenye pesa anaweza kufanya chochote na akaendelea kudunda mitaani.Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.
Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.
Waandishi wa habari, vipi mbona na nyie humuhoji?
Au wadau humu mnasemaje?
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Wamshike nani.....watu wanaogopa kurogwa.....Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.