Hivi mpaka sasa kuna yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya gorofa kuanguka?

Pm ashatoa maagizo wakamatwe, na huyo Niffer kajipitisha mbele ya simba mwenye njaa nae wamemla kichwa.

Tuutumie umaarufu vizuri, hawaaminiki hawa watu. Unaweza kutofata taratibu ukahurumiwa au ukafyekwa.
 
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.

Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.

Waandishi wa habari, vipi mbona na nyie humuhoji?

Au wadau humu mnasemaje?

Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Anashikiliwa Niffer kwa kuchangisha michango ya maana kariakoo.. Wengine wahusika wakuu sijaona
 
Wamefatilia ya pesa za msaada alizotumiwa Niffer na followers wake juzi 37m kwanza.. la makosa imekuwaje nani kafanyahe hilo sio muhimu kwao.

mil1-tzmsaadatouturuki.jpg
 
Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.
Kama ni upelelezi, basi ni wajibu wa yeyote mwenye taarifa kusaidia vyombo husika. Si lazima mtu ashikiliwe polisi ndio awe na uwezo wa kusaidia upelelezi.
 
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.

Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.

Waandishi wa habari, vipi mbona na nyie humuhoji?

Au wadau humu mnasemaje?

Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Ilikuwa ni awamu moja tu katika historia ya Tanzania ambayo Mwenye pesa anaweza kufanywa chochote kwa mujibu wa sheria, sasa hivi mwenye pesa anaweza kufanya chochote na akaendelea kudunda mitaani.
 
1. Mmiliki wa Jengo yupo wapi?
NANI NI MMILIKI WAJENGO.
2. Ramani za jengo ziko wapi??
Uokozi bila Ramani.

3. Ghorofa nne watu wanaokolewa siku nne na sio moja. TAIFA LIMEOZA.

4. Selikali ipo Radhi kununua Mabomu, magali ya Jeshi nk kuizuia CHADEMA na Inashindwa KUNUNUA VIFAA VYA UOKOAJI kwa Raia wake.

5. Niffer amejipeleka Kituoni, Yuko wapi mmliki wa Jengo.

6. Je ni nani aliyetoa vibali vya kujenga na kubomoa anakamatwa Niffer.
TANZANIA YANGU MASIKINI

ZIMA MOTO NA UOKOAJI NI SAWA NA HAKUNA KITU ZERO KABISA.
JESHI LIVUNJWE HARAKA

KARIAKOO HAKUNA PAKING HAKUNA OPEN SPACE HATA MOJA

MAJENGO MENGI KARIAKOO YAMEOZA
 
Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November.

Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia.

Waandishi wa habari, vipi mbona na nyie humuhoji?

Au wadau humu mnasemaje?

Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Wamshike nani.....watu wanaogopa kurogwa.....
 
Back
Top Bottom