ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Ukishasema Jamhuri ya muungano wa tz basi yuko juu ya rais wa znzb.Kwa uelewa wangu
1 Rais wa jamhuri ya muungano wa tz
2 Rais wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar
3 makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa tz
4. Makamu wa rais 1 wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
5 . makamu wa rais 2 wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar
6. Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Zanzibar
7 spika wa jamhuri ya muungano wa Zanzibar
8 jaji mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
9 Katibu mkuu kiongozi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kiprotocal naamini ipo hivyo
Hao wengine huko chini itategea na muktaza wa jumuiko .
Hii nchi Ina vyeo vingi Sana .
Bila katiba mpya hivyo vyeo mpangilio wake ni haueleweki baada ya vyeo hivyo hapo juu.
Mfano tumuweke CDF hapo Juu.baada ya hivyo vyeo
Ukiwa Zanzibar kuna spika wa baraza la mapinduzi la Zanzibar na jaji mkuu wa zanzuba hawa wote kwa kule Zanzibar huyu cdf ataonekana ni mdogo kwao.
Halafu embu jiulize IGP siro na jaji mkuu wa Zanzibar au spika wa baraza la mapinduzi la Zanzibar nani mkubwa
OwkRais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Makamu Wa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Waziri Mkuu Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Jaji Mkuu Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Speaker Wa Bunge La Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania