Hivi mpenzi wako anapokuita "mubaba"anakua na maana gani?

Hivi mpenzi wako anapokuita "mubaba"anakua na maana gani?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Heri ya jumapili wakuu
Sijui niko nyuma ya ulimwengu au ndio uzee unanisumbua.
Hivi mpenzi wako wa kike anapokuita we mwanaume wake "MUBABA" anakua na maana gani?
Maana kuna kibinti hivi vya mwaka elfu 2 kinapenda kuniita mubaba na wakati me bado yanki kabisa,sasa nimeshindwa kukihoji nikaona nije kwanza niwaulize humu nyie wadau.
Mubaba maana yake ni nini wakuu?
 
Back
Top Bottom