Hivi mpenzi wako anapokuita "mubaba"anakua na maana gani?

Mubaba..mutu ya maana, mutu ya wallet, sio mchoyo wa fadhila

Hawajaanza kukuita kababaa?
 
Mtu mzima mwenye pesa au muonekano mzuri au vyote ambaye wanawake wenye umri mdogo (tofauti kubwa ya rika) hawatojali kukupa mzigo.
Sugar daddy pia inatumika kwa Zaddy.
George Clooney ni mubaba.
Mzee said au Masatu siyo wababaz.
 
Ulitaka akuite "mumama au jimama"? Unashangaza
 
Isikutishe ni trending tu ilo Jina
Pili wanaitwa wanaume waliowazid umri wapenz wao na wanaohudumia vizuri wanawake zao
Ni kweli!
Ni slogan so huenda amekolea mpka anatupia vislogan kunogesha penzi🤗
 
Mungu wangu yani unaitwa mubaba unakubali aisee chanzo cha neno mubaba ni jera pale nyampara anapokuwa anamla tigo mfugwa mwenzie so neno mubaba lilitumika kumwita mwezie yani mubaba akimanisha demu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…