Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Visacard wanahusikajeWakuu ni hivi nimee nunua kitu AliExpress. Sasa kimekuja model tofauti Sasa nimeapply refund Sasa naomba kuuliza kama naweza pokea refund zangu kuja kwenye mpesa visa card
Mkuu Kwahiyo haiwezekani kabisa yaanindo umeshalambwa hivyo,baki tu na hicho kikopo kama kumbukizi mkuu uwe unatumia MasterCard za bank zipo huru zaidi.
call 100 and ask them.Mkuu Kwahiyo haiwezekani kabisa yaani
Poacall 100 and ask them.
watakachokujibu usisite kuja kutuambia nasi tupate mbili tatu lkn nachojua MasterCard yao hainaga reverse!!.. nasubiri majibu mkuu
Poa inaitawatakachokujibu usisite kuja kutuambia nasi tupate mbili tatu lkn nachojua MasterCard yao hainaga reverse!!.. nasubiri majibu mkuu
Wamedai itarudi kwenye akaunti ya visa cardwatakachokujibu usisite kuja kutuambia nasi tupate mbili tatu lkn nachojua MasterCard yao hainaga reverse!!.. nasubiri majibu mkuu
hapo poa..👍Wamedai itarudi kwenye akaunti ya visa card
Cha muhimu wameniambia niangalie sana emailhapo poa..[emoji106]
angalia pia ulikwama wapi mpk bidhaa ikaja tofautiCha muhimu wameniambia niangalie sana email
Sasa si uombe M-Pesa VISA ndani ya dakika chache tu unakuwa nayo. Ndio hiyohiyo mleta mada anauliza kama inapokea reverseKama kuna mtu anajua namna ya kulipia account ya OpenAi... Sina visa card na sijawahi kutumia... Nina account ya m-pesa tu basi...
Unapokea wasikutatishe tamaa, hao refund baada ya siku 24 kuna namba utapewa na hizo namba utawapa Vodacom na hela yako itarudishwa kwenye Mpesa na si VISA Card ili mradi tu dispute yako Aliexpress waikubali kwamba na GenuineWakuu ni hivi nimee nunua kitu AliExpress. Sasa kimekuja model tofauti Sasa nimeapply refund Sasa naomba kuuliza kama naweza pokea refund zangu kuja kwenye mpesa visa card
Shukrani mkuuUnapokea wasikutatishe tamaa, hao refund baada ya siku 24 kuna namba utapewa na hizo namba utawapa Vodacom na hela yako itarudishwa kwenye Mpesa na si VISA Card ili mradi tu dispute yako Aliexpress waikubali kwamba na Genuine
Shukrani mkuuWana refund, juzi tu hapa nimelipia kitu huko huko Aliexpress kupitia mpesa VISA ila sikupendezwa nacho, nilicancel na kuwa refunded ndani ya siku 3, sema sikupokea message kutoka voda/mpesa mpunga ulirudi kimya kimya