Hivi Mpesa visa card wanatoa refund?

Hivi Mpesa visa card wanatoa refund?

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
854
Reaction score
1,296
Wakuu ni hivi nimee nunua kitu AliExpress. Sasa kimekuja model tofauti Sasa nimeapply refund Sasa naomba kuuliza kama naweza pokea refund zangu kuja kwenye mpesa visa card
 
ndo umeshalambwa hivyo,baki tu na hicho kikopo kama kumbukizi mkuu uwe unatumia MasterCard za bank zipo huru zaidi.
 
Wakuu ni hivi nimee nunua kitu AliExpress. Sasa kimekuja model tofauti Sasa nimeapply refund Sasa naomba kuuliza kama naweza pokea refund zangu kuja kwenye mpesa visa card
Visacard wanahusikaje

Yaani uli
 
watakachokujibu usisite kuja kutuambia nasi tupate mbili tatu lkn nachojua MasterCard yao hainaga reverse!!.. nasubiri majibu mkuu
Wamedai itarudi kwenye akaunti ya visa card
 
Kama kuna mtu anajua namna ya kulipia account ya OpenAi... Sina visa card na sijawahi kutumia... Nina account ya m-pesa tu basi...
 
Wakuu ni hivi nimee nunua kitu AliExpress. Sasa kimekuja model tofauti Sasa nimeapply refund Sasa naomba kuuliza kama naweza pokea refund zangu kuja kwenye mpesa visa card
Unapokea wasikutatishe tamaa, hao refund baada ya siku 24 kuna namba utapewa na hizo namba utawapa Vodacom na hela yako itarudishwa kwenye Mpesa na si VISA Card ili mradi tu dispute yako Aliexpress waikubali kwamba na Genuine
 
Wana refund, juzi tu hapa nimelipia kitu huko huko Aliexpress kupitia mpesa VISA ila sikupendezwa nacho, nilicancel na kuwa refunded ndani ya siku 3, sema sikupokea message kutoka voda/mpesa mpunga ulirudi kimya kimya
 
Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom