Hivi Mpesa visa card wanatoa refund?

Majuzi nilinunua simu ali express lakini msafirishaji akasema atachelewa kutuma. Kwa hiyo akasema nicancel order na atarefund. Nili-cancel akarefund, ila sasa wamenikata elfu themanini na sita, wamesema niwaulize VODA. Sasa nimewatumia text hawajanijibi inabidi niwapigie
 
Wakuu ni hivi nimee nunua kitu AliExpress. Sasa kimekuja model tofauti Sasa nimeapply refund Sasa naomba kuuliza kama naweza pokea refund zangu kuja kwenye mpesa visa card
Ni kama benki un
umenunua gari toka nje ukakuta hata injini halina utawadai benki wakurudishie pesa zako? Kwani wao wanauza magari? Wadai huko ulikonunua
 
Wanatoa nilinunua Lenovo Thinkpand X1 wakaniletea model tofautinilifanguwa refund fresh kabisa
 
Kama umenunua kitu kimakosa unacancel kule AliExpress then Wana muda pesa Yako itarudishwa ila makato ya kufanya hiyo transaction yatakatwa... AliExpress Iko clear kabisa...soma maelezo vizuri..Mimi nilishacancel mara kibao na pesa zinarudi ila zinachelewa kidogo na zikirudi sometimes huwa zinaingia kimya kimya unakuta card Yako inasoma Salio
 
Shukrani mkuu seller kasha kubali nasubiri AliExpress warudishe
 
Wanaokupa refund ni huko alibaba, Mpesa Mastercard hapo ni middleman tu wa kupokea hizo funds na kuzirejesha kwenye mikono yako. Hawana hilo jukumu la kwenda kuzidai hizo pesa.
 
Wakuu ni hivi nimee nunua kitu AliExpress. Sasa kimekuja model tofauti Sasa nimeapply refund Sasa naomba kuuliza kama naweza pokea refund zangu kuja kwenye mpesa visa card
Ndio itarudi kama ikirudishwa na AliExpress, nilishawahi kufungua disputes ikakubaliwa na pesa ililejea, kipindi mile m-pesa matter card, nadhani hata hii itarudi
 
Ndio itarudi kama ikirudishwa na AliExpress, nilishawahi kufungua disputes ikakubaliwa na pesa ililejea, kipindi mile m-pesa matter card, nadhani hata hii itarudi
Shukrani mkuu amerefund mwenye pasipo AliExpress kusolve dispute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…