Hivi mradi wa mabasi yaendayo kasi Bongo umefikia wapi?

Hivi mradi wa mabasi yaendayo kasi Bongo umefikia wapi?

kaka Tanzania tuna miradi mingi tu - ipo kwenye makaratasi. hizo njia zenyewe za hayo mabasi umeshaziona? magari yanafungana kila kona mjini leo hii mabasi yaendayo kwa kasi - ni ndoto.
 
Back
Top Bottom