ELNIN0 JF-Expert Member Joined Nov 26, 2009 Posts 4,161 Reaction score 1,476 Mar 8, 2010 #21 kaka Tanzania tuna miradi mingi tu - ipo kwenye makaratasi. hizo njia zenyewe za hayo mabasi umeshaziona? magari yanafungana kila kona mjini leo hii mabasi yaendayo kwa kasi - ni ndoto.
kaka Tanzania tuna miradi mingi tu - ipo kwenye makaratasi. hizo njia zenyewe za hayo mabasi umeshaziona? magari yanafungana kila kona mjini leo hii mabasi yaendayo kwa kasi - ni ndoto.