Hivi mrembo Sanchoka ana ndugu?

Kumbe mamake ni mwalimu....
Ilo demu back in the days linasoma majengo sec 2009 kuingia 2010 lilikua jeusi afu bovu kweli kweli wakiliita Miss Bantu wa HGE...eti nashangaa saivi ni 'mrembo mashuhuri'...
Ama kweli life is a roller coaster!
[emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Tatzo wabongo hatujui maana ya neno uchi ila tafsiri sahihi ipo kwa lugha ya kiingereza
Kwahiyo uchi maana yake nini Mkuu?,, ila kumbuka unapotafsiri maneno hutofautiana kulingana na utamaduni wa sehemu husika kwahiyo uyo dada yupo uchi kulingana na tamaduni zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…