Hivi mrembo Sanchoka ana ndugu?

Anao ndugu ndio. Mama ake mzazi ni mwalimu na yuko poa tu na kitu anafanya mwanae
Aisee huyo mama ke hamna hofu ya Mungu? Au dogo kaamua kutumikia pesa mengine yata julikana mbele kwa mbele
 
Haya twende tu twende tu tutakuelewa mbele
 
Kwahiyo wajomba zake,kaka zake,baba zake wadogo wanaujua msambwanda wake vzr?!

Mama yangu alivyokuwa kauzu nadhani huyu angekuwa kishatafuta mzazi mwingine
 
Tatizo itakuwaje mume watoto wake 10 yrs to come??? Todate Nsya Swai ana Mume just 2 to 4 photos into Internet.huyu anazaidi ya 200.So sad kwa wazazi wake! Heri Tumbo lisilojaa na maziwa yasionyonyesha!.Mungu awajalie wazazi wake faraja....

Nsia Swai alishaachika muda sana
 
Aisee huyo mama ke hamna hofu ya Mungu? Au dogo kaamua kutumikia pesa mengine yata julikana mbele kwa mbele
Itakua ndo anailisha familia unadhani mama ataongea nini sasa hapo?. Kuna picha mbona kapiga na mama ake wanatuonyesha misambwanda yao.
 
Mama yake yupo hai tena hua anapost picha akiwa na mama yake.
Mama yake ana mtako huyo sanchoka haoni ndani.
 
Mama yake yupo hai tena hua anapost picha akiwa na mama yake.
Mama yake ana mtako huyo sanchoka haoni ndani.

Sawa,I agree anaweza kuwepo...Ila kuna some lack of an authoritative figure on these type of people...Aidha baba hayupo keshatangulia au he has gone AWOL on her life..

Kuna upungufu wa father figure kwenye maisha yake...Mothers hua ni watu wa nurturing..

Hebu tuangalizie kama baba yake yupo na kama ana play part in her life
 
Na bado upo bongo
 
Na kama anao hawamshauri au wanafurahi ndugu yao kuanika mwili wake uchi hadharani??
Yeah!!! Watakuwa wanamshauri na kumpa mindu bora la kupata soko... Maana unakuta kupata kwake ndiyo family inasogeza siku pia hapa mjini
 
Hizi akili hizii [emoji35] mkuu kwani hujui tamaduni zetu haziruhusu? Mbona wewe hujianiki kama yeye kama unavyotabanaisha hapa unapenda maisha ya wazungu? [emoji25]
 
Hizi akili hizii [emoji35] mkuu kwani hujui tamaduni zetu haziruhusu? Mbona wewe hujianiki kama yeye kama unavyotabanaisha hapa unapenda maisha ya wazungu? [emoji25]

Akil za Maharage hiz Utamaduni Booongo kama kafanya tofauti na utamaduni why msimkamate Puuumbavu kabisa Kila mtu ana haki ya kuishi free ila asivunje sheria za Nchi halafu unasema why mimi sijafanya hivo kwanin wewe Dada zako hawajafanya hivo acheni Kuleta Standard kwa maisha ya watu Sanch namkubali kwaaanza ndio kafunga vioo hanamuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…